Mwenye huruma Mkombozi wa watu Ulisha ukapambania Hakuna wa kuiba wewe Watanzania Ni Magufuli, Magufuli tena Ni Magufuli Ni Magufuli, Magufuli tena Ni Magufuli Kaachia wafungwa wenye makosa madogo gerezani Kaanzisha miradi mikubwa kote nchini ni mzalendo Ni Magufuli, Magufuli tena Ni Magufuli Ni Magufuli, Magufuli tena Ni Magufuli Raha, raha tupu Na rais Magufuli, raha tupu Raha, raha tupu Na rais Magufuli, raha tupu Raha, raha tupu Na rais Magufuli, raha tupu Raha, raha tupu Na rais Magufuli, raha tupu Kapandisha bajeti ya dawa Kutoka bilioni thelathini na moja Hadi bilioni mia mbili sabini Masoko ya madini sasa imeongezeka ah-ah-ah Leo vijana elimu ya juu Wanasoma hawana muda Wa kuandamana tena Mikopo inawai Leo vijana elimu ya juu Wanasoma hawana muda Wa kuandamana tena Mikopo inawai Makao makuu Dodoma Ni ahadi ya miaka arubaini Leo kaitimiza tena kwa kasi Ni Magufuli, Magufuli tena Ni Magufuli Ni Magufuli, Magufuli tena Ni Magufuli Raha, raha tupu Na rais Magufuli, raha tupu Raha, raha tupu Na rais Magufuli, raha tupu Raha, raha tupu Na rais Magufuli, raha tupu Raha, raha tupu Na rais Magufuli, raha tupu Raha, raha tupu Kuwa na yeye tu raha tupu Raha, raha tupu Na rais Magufuli Mikopo kwa mama, vijana na walemavu (Rais Magufuli) Huduma ya maji ni bwerere pia (Rais Magufuli) Kaongeza dhamani ya wakulima (Rais Magufuli) Korosho, kahawa, pamba, ufuta, mihogo Mmh Barabara za kisasa Raha raha tumepata Ujenzi wa reli pia Tanzania Majengo ya hospitali Wilaya sitini na saba Ni Rais Magufuli) Elimu pia ni bure pia ametoa (Ni Rais Magufuli) Na mapato kem kem serikalini (Ni Rais Magufuli) Kiongozi mwadilifu anafurahi Mm Ni Magufuli, Magufuli tena Ni Magufuli Ni Magufuli, Magufuli tena Ni Magufuli Raha, raha tupu Na rais Magufuli, raha tupu Raha, raha tupu Na rais Magufuli, raha tupu Raha, raha tupu Na rais Magufuli, raha tupu Raha, raha tupu Na rais Magufuli, raha tupu